Psalms 119:86 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amri zako zote ni za kuaminika; watu wananitesa bila haki; unisaidie!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amri zako zote ni za kuaminika; unisaidie, kwa sababu watu wananishtaki bila sababu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maagizo yako yote ni amini, Wananifuatia bure, unisaidie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amri zako zote ni za kuaminika; watu wananitesa bila haki; unisaidie!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amri zako zote ni kweli na amini; unisaidie, kwa sababu watu wananishtaki bila sababu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amri zako zote ni za kuaminika; unisaidie, kwa sababu watu wananishtaki bila sababu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amri zako zote ni za kudumu, Ninateswa bila sababu, nisaidie!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amri zako zote ni za kuaminika; watu wananitesa bila haki; unisaidie!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maagizo yako yote ni ya welekevu; lakini wao hunikimbiza bure, kwa hiyo nisaidie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maagizo yako yote ni amini, Wananifuatia bure, unisaidie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amri zako zote ni za kuaminiwa; watu wananitesa bila haki; unisaidie!