Psalms 119:87 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Karibu wangefaulu kuniangamiza, lakini mimi sijavunja kanuni zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walikaribia kabisa kunifuta kutoka uso wa dunia, lakini sijaacha mausia yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walikuwa karibu na kunikomesha katika nchi, Lakini sikuyaacha mausia yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Karibu wangefaulu kuniangamiza, lakini mimi sijavunja kanuni zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walikaribia kabisa kunifuta kutoka katika uso wa dunia, lakini sijaacha mausia yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walikaribia kabisa kunifuta kutoka uso wa dunia, lakini sijaacha mausia yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walikuwa karibu na kunikomesha katika nchi, Lakini sikuyaacha mausia yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Karibu wangefaulu kuniangamiza, lakini mimi sijavunja kanuni zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilikuwa imesalia kidogo, wangenitowesha huku nchini, lakini amri zako sikuziacha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walikuwa karibu na kunikomesha katika nchi, Lakini sikuyaacha mausia yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walifikia karibu ya kuniangamiza, lakini mimi sikuvunja kanuni zako.