Psalms 119:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kijana atatunzaje maisha yake kuwa safi? Kwa kuyaongoza kadiri ya neno lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kijana aisafishe njia yake jinsi gani? Ni kwa kutii, akilifuata neno lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kijana atatunzaje maisha yake kuwa safi? Kwa kuyaongoza kadiri ya neno lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jinsi gani kijana aifanye njia yake kuwa safi? Ni kwa kutii akilifuata neno lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani? Ni kwa kutii, akilifuata neno lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kijana atatunzaje maisha yake kuwa safi? Kwa kuyaongoza kadiri ya neno lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kijana ataiangaliaje njia yake, iwe imetakata? Itakuwa hapo, atakapolishika Neno lako na kulifuata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Namna gani kijana ataweza kujichunga katika njia safi? Ni kwa kufuatilia neno lako.