Psalms 119:90 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uaminifu wako wadumu vizazi vyote, umeiweka dunia mahali pake nayo yadumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uaminifu wako unaendelea kwa vizazi vyote, umeiumba dunia, nayo inadumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uaminifu wako upo kizazi baada ya kizazi, Umeiweka nchi, nayo inakaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uaminifu wako wadumu vizazi vyote, umeiweka dunia mahali pake nayo yadumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uaminifu wako unaendelea kwa vizazi vyote, umeiumba dunia nayo inadumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uaminifu wako unaendelea kwa vizazi vyote, umeiumba dunia, nayo inadumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uaminifu wako upo kizazi baada ya kizazi, Umeiweka nchi, nayo imethibitika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uaminifu wako wadumu vizazi vyote, umeiweka dunia mahali pake nayo yadumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Welekevu wako hukalia vizazi na vizazi. Ulipozishikiza nchi, zikapata kusimama;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uaminifu wako upo kizazi baada ya kizazi, Umeiweka nchi, nayo inakaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uaminifu wako unadumu kwa vizazi vyote, umeweka dunia pahali pake, nayo inadumu.