Psalms 119:92 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningalikwisha angamia kwa taabu zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama nisingefurahia sheria yako, ningeangamia katika taabu zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama sheria yako isingalikuwa furaha yangu, Hapo ningalipotea katika taabu zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningalikwisha angamia kwa taabu zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama nisingekuwa nafurahia sheria yako, ningekuwa nimeangamia katika taabu zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama nisingefurahia sheria yako, ningeangamia katika taabu zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama sheria yako isingalikuwa furaha yangu, Hapo ningalipotea katika mateso yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningalikwisha angamia kwa taabu zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Maonyo yako yasingalinichangamsha, ningaliangamia kwa kuteseka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama sheria yako isingalikuwa furaha yangu, Hapo ningalipotea katika taabu zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningalikwisha kuangamia kwa taabu zangu.