Psalms 12:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja humdanganya mwenzake, husema kwa kudanganya na kwa moyo wa unafiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe, Wenye midomo ya kujipendekeza; Husemezana kwa mioyo ya unafiki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja humdanganya mwenzake, husema kwa kudanganya na kwa moyo wa unafiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe, Wenye midomo ya kujipendekeza; Husemezana kwa mioyo ya unafiki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja humdanganya mwenzake, husema kwa kudanganya na kwa moyo wa unafiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mtu na mwenzake husemeana yaliyo uwongo, midomo yao husema yenye ujanja, kwa kuwa wenye mioyo miwili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe, Wenye midomo ya kujipendekeza; Husemezana kwa mioyo ya unafiki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unisaidie, ee Yawe! Watu wema wamekwisha; waaminifu wametoweka kati ya watu.