Psalms 12:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu uikomeshe hiyo midomo ya udanganyifu, na ndimi hizo zinazojigamba kupindukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu na akatilie mbali midomo yote ya hila na kila ulimi uliojaa majivuno,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ataikata midomo yote ya kujipendekeza, Nao ulimi unenao maneno ya kiburi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu uikomeshe hiyo midomo ya udanganyifu, na ndimi hizo zinazojigamba kupindukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA na akatilie mbali midomo yote ya hila na kila ulimi uliojaa majivuno
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila na kila ulimi uliojaa majivuno,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ataikata midomo yote ya kujipendekeza, Na ulimi unenao maneno ya kiburi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu uikomeshe hiyo midomo ya udanganyifu, na ndimi hizo zinazojigamba kupindukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana na akomeshe midomo yote yaliyo yenye ujanja, nazo ndimi zisemazo maneno makuu tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ataikata midomo yote ya kujipendekeza, Nao ulimi unenao maneno ya kiburi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mumoja anamudanganya mwenzake; anabembeleza lakini ni kwa moyo wa unafiki.