Psalms 12:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao husema: “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo tunayo, nani awezaye kututawala?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda; Midomo yetu ni yetu wenyewe, Ni nani aliye bwana juu yetu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao husema: “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo tunayo, nani awezaye kututawala?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda; Midomo yetu ni yetu wenyewe, Ni nani aliye bwana juu yetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao husema: “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo tunayo, nani awezaye kututawala?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio wanaosema: kwa nguvu za ndimi zetu tutashinda sisi, nayo mikono yetu hutusaidia; yuko nani atakayetutawala?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda; Midomo yetu ni yetu wenyewe, Ni nani aliye bwana juu yetu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ukomeshe midomo hiyo ya kudanganya, na ndimi hizo zinazojigamba.