Psalms 12:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utulinde, ee Mwenyezi-Mungu, utukinge daima na kizazi hiki kiovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, utatuweka salama na kutulinda na kizazi hiki milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, Bwana, ndiwe utakayetuhifadhi, Utatulinda na kizazi hiki milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utulinde, ee Mwenyezi-Mungu, utukinge daima na kizazi hiki kiovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, utatuweka salama na kutulinda na kizazi hiki milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, utatuweka salama na kutulinda na kizazi hiki milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, BWANA, ndiwe utakayetuhifadhi, Utatulinda na kizazi hiki milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utulinde, ee Mwenyezi-Mungu, utukinge daima na kizazi hiki kiovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe, Bwana, utayaangalia! Nasi utatuokoa katika uzazi huo kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, BWANA, ndiwe utakayetuhifadhi, Utatulinda na kizazi hiki milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahadi za Yawe ni safi, safi kama feza iliyosafishwa katika chungu, kama feza iliyosafishwa mara saba.