Psalms 12:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu wanazunguka kila mahali; upotovu unatukuzwa kati ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu waovu huenda wakiringa kila mahali wakati yule aliye mbaya sana ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasio haki hutembea pande zote, Ufisadi ukitukuka kati ya wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu wanazunguka kila mahali; upotovu unatukuzwa kati ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu waovu huenda wakiringa kila mahali wakati ambapo yule aliye mbaya sana ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu waovu huenda wakiringa kila mahali wakati ambapo yule aliye mbaya sana ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasio haki hutembea pande zote, Huku ufisadi ukitukuka kati ya wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu wanazunguka kila mahali; upotovu unatukuzwa kati ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiokucha huendelea na kutuzunguka, kwani maoneo ndiyo yanayotukuzwa kwao watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasio haki hutembea pande zote, Ufisadi ukitukuka kati ya wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utulinde, ee Yawe, utukinge siku zote na kizazi hiki kiovu.