Psalms 120:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu) Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu, naye akanijibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika dhiki yangu namwita Mwenyezi Mungu, naye hunijibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu, naye akanijibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Katika dhiki yangu namwita BWANA, naye hunijibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika dhiki yangu namwita bwana, naye hunijibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika shida yangu nilimlilia BWANA Naye akaniitikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu, naye akanijibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipomwita Bwana katika masongano yangu, akaniitikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika shida yangu nalimlilia BWANA Naye akaniitikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Katika taabu yangu nilimwita Yawe, naye akanijibu.