Psalms 120:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniokoe ee Mwenyezi-Mungu, na watu wadanganyifu na waongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniokoe ee Mwenyezi-Mungu, na watu wadanganyifu na waongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo na ndimi za udanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uniponye Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniokoe ee Mwenyezi-Mungu, na watu wadanganyifu na waongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, iponye roho yangu, nisishindwe nao wanaonijia kwa midomo yenye uwongo na kwa ndimi za kudanganya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniokoe, ee Yawe, kutoka watu wadanganyifu na waongo.