Psalms 120:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi watu wadanganyifu, mtapewa kitu gani? Mtaadhibiwa namna gani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watu wadanganyifu, mtapewa kitu gani? Mtaadhibiwa namna gani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, Ewe ulimi mdanganyifu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakufanyia nini, au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watu wadanganyifu, mtapewa kitu gani? Mtaadhibiwa namna gani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi ndimi zenye udanganyifu, atawapa nini? Kisha yako mambo gani tena, atakayoendelea kuwapatia ninyi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi watu wadanganyifu, mutapewa kitu gani? Mutaazibiwa namna gani?