Psalms 120:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mishale mikali ya askari, kwa makaa ya moto mkali!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mishale mikali ya askari, kwa makaa ya moto mkali!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mishale mikali ya askari, kwa makaa ya moto mkali!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana zinakuwa kama mishale ya mpiga vita iliyotiwa ukali, au kama makaa ya mshuluti yaliyo yenye moto mwingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mishale mikali ya waaskari, kwa makaa ya moto mukali!