Psalms 120:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wangu kwamba naishi kama mgeni huko Mesheki; naishi kama mgeni katika mahema ya Kedari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, kwamba naishi katikati ya mahema ya Kedari!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wangu kwamba naishi kama mgeni huko Mesheki; naishi kama mgeni katika mahema ya Kedari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, kwamba naishi katikati ya hema za Kedari!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, kwamba naishi katikati ya hema za Kedari!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wangu mimi! Kwa kuwa ni mgeni katika Mesheki; Na kufanya makao yangu Katikati ya hema za Kedari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wangu kwamba naishi kama mgeni huko Mesheki; naishi kama mgeni katika mahema ya Kedari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukiwa wangu ni kukaa ugenini huku Meseki na kutua katika mahema yao watu wa Kedari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole wangu maana ninaishi kama mugeni huko Meseki; ninaishi kama mugeni katika mahema ya Kedari.