Psalms 120:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimeishi muda mrefu mno kati ya watu wanaochukia amani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeishi muda mrefu mno miongoni mwa wale wanaochukia amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimeishi muda mrefu mno kati ya watu wanaochukia amani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeishi muda mrefu mno miongoni mwa wale wanaochukia amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeishi muda mrefu mno miongoni mwa wale wanaochukia amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa muda mrefu nimeishi, Pamoja na watu wanaoichukia amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimeishi muda mrefu mno kati ya watu wanaochukia amani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kukaa huku siku nyingi roho yangu inahangaika, maana watu wa huku huuchukia nao utengemano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimeishi muda murefu sana kati ya watu wanaochukia amani!