Psalms 120:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati ninaposema nataka amani, wao wanataka tu vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ni mtu wa amani; lakini ninaposema, wao wanataka vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati ninaposema nataka amani, wao wanataka tu vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ni mtu wa amani; lakini ninaposema, wao wanataka vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ni mtu wa amani; lakini ninaposema, wao wanataka vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nazingatia amani; Bali ninenapo, wao wanataka vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati ninaposema nataka amani, wao wanataka tu vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye utengemano ndio mimi, lakini ninaposema nao, wao hutafuta magomvi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaposema kwamba ninataka amani, wao wanataka tu vita.