Psalms 121:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) Natazama juu milimani; msaada wangu utatoka wapi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nayainua macho yangu natazama milima: msaada wangu utatoka wapi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Natazama juu milimani; msaada wangu utatoka wapi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Nayainua macho yangu nitazame vilima, msaada wangu utatoka wapi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayainua macho yangu nitazame vilima, msaada wangu utatoka wapi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Natazama juu milimani; msaada wangu utatoka wapi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninayainua macho yangu na kuyaelekeza milimani, kwani ndiko, utakakotoka msaada wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Ninainua macho kwenye milima. Musaada wangu unatoka wapi?