Psalms 121:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msaada wangu hutoka kwa Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Muumba wa mbingu na dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msaada wangu hutoka kwa bwana, Muumba wa mbingu na dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msaada wangu hutoka kwake Bwana, ndiye aliyeziumba mbingu na nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musaada wangu unatoka kwa Yawe, aliyeumba mbingu na dunia.