Psalms 121:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mlinzi wako; yuko upande wako wa kulia kukukinga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anakulinda, Mwenyezi Mungu ni uvuli wako mkono wako wa kuume,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mlinzi wako; yuko upande wako wa kulia kukukinga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anakulinda, BWANA ni uvuli wako mkono wako wa kuume,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anakulinda, bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli katika mkono wako wa kulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mlinzi wako; yuko upande wako wa kulia kukukinga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ndiye akulindaye, Bwana ni kivuli chako kuumeni kwako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni mulinzi wako; yuko upande wako wa kuume kwa kukukinga.