Psalms 121:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana atakukinga na madhara yote, atayalinda maisha yako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atakukinga na baya lolote; atayalinda salama maisha yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atakukingia mabaya yote, atailinda roho yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atakukinga na uovu wote; atayalinda salama maisha yako.