Psalms 121:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atakulinda katika shughuli zako zote tangu sasa na hata milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu atakulinda unapoingia na unapotoka, tangu sasa na hata milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atakulinda katika shughuli zako zote tangu sasa na hata milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA atakulinda unapoingia na unapotoka, tangu sasa na hata milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana atakulinda unapoingia na unapotoka, tangu sasa na hata milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atakulinda katika shughuli zako zote tangu sasa na hata milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana na akulinde kutoka kwako na kuingia kwako kuanzia sasa hata kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atakulinda katika shuguli zako zote tangu sasa na hata milele.