Psalms 122:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) Nilifurahi waliponiambia: “Twende nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilishangilia pamoja na wale walioniambia, “Twende nyumbani mwa Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilifurahi waliponiambia: “Twende nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Nilishangilia pamoja na wale walioniambia, “Twende katika nyumba ya BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilishangilia pamoja na wale walioniambia, “Twende nyumbani ya bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilifurahi waliponiambia, Twende nyumbani kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilifurahi waliponiambia: “Twende nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Niliwafurahia walioniambia: Twende Nyumbani kwa Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa Safari za kidini. Wa Daudi. Nilifurahi waliponiambia: “Twende kwenye nyumba ya Yawe.”