Psalms 122:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa tuko tumesimama, kwenye malango yako, ee Yerusalemu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Yerusalemu, miguu yetu imesimama malangoni mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa tuko tumesimama, kwenye malango yako, ee Yerusalemu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Yerusalemu, miguu yetu imesimama malangoni mwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Yerusalemu, miguu yetu imesimama malangoni mwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa tuko tumesimama, kwenye malango yako, ee Yerusalemu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo miguu yetu iko ikisimama malangoni kwako, Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa tuko tumesimama kwenye milango yako, ee Yerusalema!