Psalms 122:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yerusalemu, mji uliojengwa, ili jumuiya ikutane humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yerusalemu imejengwa vyema kama mji ulioshikamana pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yerusalemu, mji uliojengwa, ili jumuiya ikutane humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yerusalemu imejengwa vyema kama mji ambao umeshikamanishwa pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yerusalemu imejengwa vyema kama mji ambao umeshikamanishwa pamoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yerusalemu, mji uliojengwa, ili jumuiya ikutane humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yerusalemu umejengwa tena kama mji ulioungamanishwa vema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yerusalema ni muji uliojengwa kusudi makundi ya watu yakutane humo.