Psalms 122:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo ndimo makabila yanamofika, naam, makabila ya Israeli, kumshukuru Mwenyezi-Mungu kama alivyoagiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko ndiko makabila hukwea, makabila ya Mwenyezi Mungu, kulisifu jina la Mwenyezi Mungu kulingana na maagizo waliopewa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za Bwana; Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humo ndimo makabila yanamofika, naam, makabila ya Israeli, kumshukuru Mwenyezi-Mungu kama alivyoagiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko ndiko makabila hukwea, makabila ya BWANA, kulisifu jina la BWANA kulingana na maagizo waliopewa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko ndiko makabila hukwea, makabila ya bwana, kulisifu jina la bwana kulingana na maagizo waliopewa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huko ndiko wapandako kabila, makabila ya BWANA; Kama ulivyowaamuru Waisraeli, Walishukuru jina la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo ndimo makabila yanamofika, naam, makabila ya Israeli, kumshukuru Mwenyezi-Mungu kama alivyoagiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiko, mashina ya watu yanakopanda, yaliyo mashina ya Bwana; ndiko, wanakowashuhudia Waisiraeli, walishukuru Jina la Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za BWANA; Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Humo ndimo makabila yanamofika, ndiyo, makabila ya Yawe, kwa kumushukuru Yawe kama Waisraeli walivyoagiza.