Psalms 122:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo mmewekwa mahakama ya hukumu ya haki, mahakama ya ukoo wa kifalme wa Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko viti vya hukumu hukaa, viti vya ufalme vya nyumba ya Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humo mmewekwa mahakama ya hukumu ya haki, mahakama ya ukoo wa kifalme wa Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko viti vya enzi vya hukumu hukaa, viti vya enzi vya nyumba ya Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko viti vya enzi vya hukumu hukaa, viti vya enzi vya nyumba ya Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, Viti vya enzi vya ukoo wa Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo mmewekwa mahakama ya hukumu ya haki, mahakama ya ukoo wa kifalme wa Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani viti vya uamuzi vilipowekwa, ndipo pale, ni viti vya kifalme vya mlango wa Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Humo kulikuwa viti vya kifalme kwa kuamua maneno, ndivyo viti vya ukoo wa Daudi.