Psalms 122:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndani ya kuta zako kuwe na amani, majumbani mwako kuweko usalama!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amani na iwe ndani ya kuta zako, na usalama ndani ya ngome zako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndani ya kuta zako kuwe na amani, majumbani mwako kuweko usalama!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amani na iwepo ndani ya kuta zako na usalama ndani ya ngome zako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amani na iwepo ndani ya kuta zako na usalama ndani ya ngome zako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndani ya kuta zako kuwe na amani, majumbani mwako kuweko usalama!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti uwe utengemano ndani ya boma lako, nao utulivu katika majumba yako yaliyo mazuri mno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndani ya kuta zinazokuzunguka kuwe amani, nao usalama ukuwe ndani ya nyumba zako nzuri!”