Psalms 122:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ajili ya jamaa na ndugu zangu, ee Yerusalemu, nakutakia amani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya ndugu na rafiki zangu, nitasema, “Amani iwe ndani yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ajili ya jamaa na ndugu zangu, ee Yerusalemu, nakutakia amani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya ndugu zangu na marafiki, nitasema, “Amani iwe ndani yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya ndugu zangu na marafiki, nitasema, “Amani iwe ndani yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ajili ya jamaa na ndugu zangu, ee Yerusalemu, nakutakia amani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili yao walio ndugu zangu na rafiki zangu na niseme tena na kuomba: Utengemano na uwe kwako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu Niseme sasa, Amani ikae nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya jamaa na wandugu zangu, ee Yerusalema, ninakutakia amani!