Psalms 122:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ajili ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ninakuombea upate fanaka!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, nitatafuta mafanikio yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya nyumba ya Bwana, Mungu wetu, Nikutafutie mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ajili ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ninakuombea upate fanaka!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya nyumba ya BWANA Mungu wetu, nitatafuta mafanikio yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya nyumba ya bwana Mwenyezi Mungu wetu, nitatafuta mafanikio yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya nyumba ya BWANA, Mungu wetu, Nitakuombea mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ajili ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ninakuombea upate fanaka!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili ya Nyumba ya Bwana Mungu wetu na nikutafutie mema.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya nyumba ya BWANA, Mungu wetu, Nikutafutie mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya nyumba ya Yawe, Mungu wetu, ninakuombea upate uheri!