Psalms 123:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumeshiba muda mrefu dharau za matajiri, tumepuuzwa mno na wenye kiburi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumevumilia dhihaka nyingi kutoka kwa wenye kiburi, dharau nyingi kutoka kwa wenye majivuno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha, Na dharau ya wenye kiburi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumeshiba muda mrefu dharau za matajiri, tumepuuzwa mno na wenye kiburi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumevumilia dhihaka nyingi kutoka kwa wenye kiburi, dharau nyingi kutoka kwa wenye majivuno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumevumilia dhihaka nyingi kutoka kwa wenye kiburi, dharau nyingi kutoka kwa wenye majivuno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha, Na dharau ya wenye kiburi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumeshiba muda mrefu dharau za matajiri, tumepuuzwa mno na wenye kiburi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho zetu zimeshiba sana masimango yao wanaokula vya urembo, nayo mabezo yao wenye majivuno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha, Na dharau ya wenye kiburi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumeshiba muda murefu mazarau ya watajiri, nayo masimango ya wenye kiburi.