Psalms 124:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) “Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu Semeni nyote mlio katika Israeli:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama Mwenyezi Mungu hangekuwa upande wetu; Israeli na aseme sasa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu…” Semeni nyote mlio katika Israeli:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Kama BWANA asingalikuwa upande wetu; Israeli na aseme sasa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama bwana asingalikuwa upande wetu; Israeli na aseme sasa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu Semeni nyote mlio katika Israeli:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Bwana asingalikuwa nasi, Waisiraeli na waseme hivyo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Ninyi wote munaokuwa katika Israeli museme: “Kama Yawe asingalikuwa upande wetu”.