Psalms 124:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu, wakati ule tuliposhambuliwa na maadui,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama Mwenyezi Mungu hangekuwa upande wetu, watu walipotushambulia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu, wakati ule tuliposhambuliwa na maadui,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama BWANA asingalikuwa upande wetu, wakati watu walipotushambulia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama bwana asingalikuwa upande wetu, wakati watu walipotushambulia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama Mwenyezi-Mungu asingalikuwa upande wetu, wakati ule tuliposhambuliwa na maadui,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Bwana asingalikuwa nasi, watu walipotuinukia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kama Yawe asingalikuwa upande wetu, wakati ule tuliposhambuliwa na waadui,