Psalms 124:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hakika tungalimezwa tukiwa hai, wakati hasira zao zilipotuwakia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hasira yao ilipowaka dhidi yetu, wangetumeza tukiwa hai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hakika tungalimezwa tukiwa hai, wakati hasira zao zilipotuwakia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, wangalitumeza tungali hai,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, wangalitumeza tungali hai,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hakika tungalimezwa tukiwa hai, wakati hasira zao zilipotuwakia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wangalitumeza, tukingali wazima bado; ilikuwa hapo, moto wa makali yao ulipotuunguza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hakika tungalimezwa tukikuwa wazima, wakati hasira yao ilipowaka juu yetu.