Psalms 124:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tungalikumbwa na gharika, tungalifunikwa na mto wa maji,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mafuriko yangegharikisha, maji mengi yangetufunika,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tungalikumbwa na gharika, tungalifunikwa na mto wa maji,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafuriko yangalitugharikisha, maji mengi yangalitufunika,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mafuriko yangalitugharikisha, maji mengi yangalitufunika,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tungalikumbwa na gharika, tungalifunikwa na mto wa maji,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maji mengi yangalitudidimiza hapo, mito ilipopita juu yetu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Papo hapo maji yangalitugharikisha, Mto ungalipita juu ya roho zetu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tungalichukuliwa na maji mengi, tungalifunikwa na muto.