Psalms 124:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mkondo wa maji ungalituchukua!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
maji yaendayo kasi yangetuchukua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu Maji yafurikayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mkondo wa maji ungalituchukua!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
maji yaendayo kasi yangalituchukua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
maji yaendayo kasi yangalituchukua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Papo hapo maji yafurikayo Yangalipita juu yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mkondo wa maji ungalituchukua!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani hapo mafuriko ya maji yaliyopita juu yetu yangalitutosa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu Maji yafurikayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tungalizamishwa na maporomoko ya maji!”