Psalms 124:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, ambaye hakutuacha makuchani mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ahimidiwe Bwana; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, ambaye hakutuacha makuchani mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ahimidiwe BWANA; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, ambaye hakutuacha makuchani mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana na asifiwe! Kwani hakututoa, tunyafuliwe na meno yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ahimidiwe BWANA; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atukuzwe! Hakutuachilia katika meno yao.