Psalms 124:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumeponyoka kama ndege mtegoni; mtego umeteguliwa, nasi tukaokoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumeponyoka kama ndege kutoka mtego wa mwindaji; mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumeponyoka kama ndege mtegoni; mtego umeteguliwa, nasi tukaokoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumeponyoka kama ndege kutoka katika mtego wa mwindaji; mtego umevunjika, nasi tukaokoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumeponyoka kama ndege kutoka mtego wa mwindaji; mtego umevunjika, nasi tukaokoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumeponyoka kama ndege mtegoni; mtego umeteguliwa, nasi tukaokoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho zetu zimepona, kama ndege anavyopona tanzini, kamba za tanzi zikikatika; ndivyo, sisi tulivyopona nasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumeponyoka kama ndege katika mutego; mutego umefyatuka, nasi tukaponyoka.