Psalms 124:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msaada wetu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msaada wetu ni katika jina la Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msaada wetu u katika jina la Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msaada wetu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msaada wetu ni katika jina la BWANA, Muumba wa mbingu na dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msaada wetu ni katika jina la bwana, Muumba wa mbingu na dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msaada wetu u katika jina la BWANA, Aliyeziumba mbingu na nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msaada wetu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msaada wetu uko katika Jina la Bwana, ndiye aliyeziumba mbingu na nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msaada wetu u katika jina la BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musaada wetu unatoka kwa Yawe, aliyeumba mbingu na dunia.