Psalms 125:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu) Wanaomtegemea Mwenyezi-Mungu, wako kama mlima Siyoni, ambao hautikisiki bali wabaki imara daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wamtumainio Mwenyezi Mungu ni kama Mlima Sayuni, ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaomtegemea Mwenyezi-Mungu, wako kama mlima Siyoni, ambao hautikisiki bali wabaki imara daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Wale wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, ambao hauwezi kutikisika wadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wamtumainio bwana ni kama mlima Sayuni, ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautikisiki, wakaa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaomtegemea Mwenyezi-Mungu, wako kama mlima Siyoni, ambao hautikisiki bali wabaki imara daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamwegemeao Bwana hufanana nao mlima wa Sioni, hautikisiki, unakaa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Wanaomutegemea Yawe, wako kama mulima Sayuni, ambao hautikisiki lakini unabaki imara siku zote.