Psalms 125:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi-Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama milima inavyozunguka Yerusalemu, ndivyo Mwenyezi Mungu anavyowazunguka watu wake sasa na hata milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi-Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama milima inavyozunguka Yerusalemu, ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake sasa na hata milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama milima inavyozunguka Yerusalemu, ndivyo bwana anavyowazunguka watu wake sasa na hata milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi-Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama milima inavyouzunguka mji wa Yerusalemu, ndivyo, Bwana anavyowazunguka walio ukoo wake kuanzia sasa hata kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile milima inavyozunguka Yerusalema, ndivyo Yawe anavyozunguka watu wake, tangu sasa na hata milele.