Psalms 125:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu hawataendelea kutawala nchi ya waadilifu; wasije waadilifu nao wakafanya maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi waliyopewa wenye haki, ili wenye haki wasije wakatumia mikono yao kutenda ubaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki; Wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu hawataendelea kutawala nchi ya waadilifu; wasije waadilifu nao wakafanya maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi waliopewa wenye haki, ili kwamba wenye haki wasije wakatumia mikono yao kutenda ubaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi waliopewa wenye haki, ili wenye haki wasije wakatumia mikono yao kutenda ubaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya nchi ya wenye haki; Ili wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu hawataendelea kutawala nchi ya waadilifu; wasije waadilifu nao wakafanya maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani bakora yao wasiomcha Mungu haitashika uflame wa kulitawala fungu lao walio waongofu, kusudi waongofu wasiipeleke mikono yao kushika yenye mapotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki; Wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu hawataendelea kutawala inchi ya watu wa haki, kusudi watu wa haki nao wasifanye maovu.