Psalms 125:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, uwe mwema kwa watu wema, kwa wale wanaozitii amri zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, watendee mema walio wema, wale walio wanyofu wa moyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uwatendee mema walio wema, Nao walio wanyofu wa moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, uwe mwema kwa watu wema, kwa wale wanaozitii amri zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, watendee mema walio wema, wale walio wanyofu wa moyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, watendee mema walio wema, wale walio wanyofu wa moyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uwatendee mema walio wema, Nao walio wanyofu wa moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, uwe mwema kwa watu wema, kwa wale wanaozitii amri zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, walio wema wafanyizie mema, nao wanyokao mioyo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uwatendee mema walio wema, Nao walio wanyofu wa moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ukuwe mwema kwa watu wema, kwa wale wenye moyo wenye kunyooka.