Psalms 125:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wanaogeuka na kufuata njia zao mbaya uwakumbe pamoja na watenda maovu. Amani iwe na Israeli!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali wale wanaogeukia njia zilizopotoka, Mwenyezi Mungu atawafukuza pamoja na watenda maovu. Amani iwe juu ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka, Bwana atawaondoa pamoja na watenda maovu. Amani ikae na Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wanaogeuka na kufuata njia zao mbaya uwakumbe pamoja na watenda maovu. Amani iwe na Israeli!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali wale wanaogeukia njia zilizopotoka, BWANA atawafukuza pamoja na watenda mabaya. Amani iwe juu ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali wale wanaogeukia njia zilizopotoka, bwana atawafukuza pamoja na watenda mabaya. Amani iwe juu ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka, BWANA atawaondoa pamoja na watenda maovu. Amani ikae na Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wanaogeuka na kufuata njia zao mbaya uwakumbe pamoja na watenda maovu. Amani iwe na Israeli!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wao wazigeuzao njia zao kuwa za kuptokapotoka Bwana an awaache, wajiendee pamoja nao wafanyao maovu! Utengemano na uwakalie wao Waisiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka, BWANA atawaondoa pamoja na watenda maovu. Amani ikae na Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wanaogeuka na kufuata njia zao mbaya, uwatoweshe pamoja na watenda maovu. Amani ikuwe na Israeli!