Psalms 126:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu) Mwenyezi-Mungu alipoturekebisha na kuturudisha Siyoni, tulikuwa kama watu wanaoota ndoto!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alipowarejesha mateka Sayuni, tulikuwa kama watu walioota ndoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alipoturekebisha na kuturudisha Siyoni, tulikuwa kama watu wanaoota ndoto!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) BWANA alipowarejeza mateka Sayuni, tulikuwa kama watu walioota ndoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alipowarejeza mateka Sayuni, tulikuwa kama watu walioota ndoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA alipowarejesha mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alipoturekebisha na kuturudisha Siyoni, tulikuwa kama watu wanaoota ndoto!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Bwana atakapowakomboa Wasioni waliotekwa akiwarudisha kwao, ndipo, tutakapokuwa kama watu wenye kuota ndoto:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alipowarejeza mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Yawe alipoturudisha tena Sayuni, tulikuwa kama watu wanaoota ndoto!