Psalms 126:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo tuliangua kicheko; tulishangilia kwa furaha. Nao watu wa mataifa mengine walisema: “Mwenyezi-Mungu amewatendea mambo makubwa!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vinywa vyetu vilijaa kicheko, ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe. Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa, “Mwenyezi Mungu amewatendea mambo makuu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, Bwana amewatendea mambo makuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo tuliangua kicheko; tulishangilia kwa furaha. Nao watu wa mataifa mengine walisema: “Mwenyezi-Mungu amewatendea mambo makubwa!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vinywa vyetu vilijaa kicheko, ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe. Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa, “BWANA amewatendea mambo makuu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vinywa vyetu vilijaa kicheko, ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe. Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa, “ bwana amewatendea mambo makuu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, BWANA amewatendea mambo makuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo tuliangua kicheko; tulishangilia kwa furaha. Nao watu wa mataifa mengine walisema: “Mwenyezi-Mungu amewatendea mambo makubwa!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vinywa vyetu vitajaa macheko, nazo ndimi zetu zitapiga vigelegele. Ndipo, nao wamizimu watakaposema: Bwana amewafanyizia makuu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, BWANA amewatendea mambo makuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo kinywa chetu kilijaa kicheko; tulishangilia kwa furaha. Nao watu wa mataifa mengine walisema: “Yawe amewatendea mambo makubwa!”