Psalms 126:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli Mwenyezi-Mungu alitutendea mambo makubwa, tulifurahi kwelikweli!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ametutendea mambo makuu, nasi tumejaa furaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli Mwenyezi-Mungu alitutendea mambo makubwa, tulifurahi kwelikweli!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ametutendea mambo makuu, nasi tumejaa furaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ametutendea mambo makuu, nasi tumejaa furaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli Mwenyezi-Mungu alitutendea mambo makubwa, tulifurahi kwelikweli!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli Bwana ametufanyizia mambo makuu, kwa hiyo twaona furaha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli Yawe alitutendea maajabu, tulifurahi kweli kweli!