Psalms 126:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, urekebishe tena hali yetu, kama mvua inavyotiririsha maji katika mabonde makavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, turejeshee watu wetu waliotekwa, kama vijito katika Negebu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, urekebishe tena hali yetu, kama mvua inavyotiririsha maji katika mabonde makavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, turejeshee watu wetu waliotekwa, kama vijito katika Negebu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, turejeshee watu wetu waliotekwa, kama vijito katika Negebu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, urekebishe tena hali yetu, kama mvua inavyotiririsha maji katika mabonde makavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, wakomboe wenzetu waliotekwa ukiwarudisha kwetu, tuwe kama mito ya mchanga iliyojazwa maji na mvua ya vuli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, utengeneze hali yetu, kama vile maji yanavyorudi katika jangwa la Negebu.