Psalms 126:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaokwenda kupanda mbegu wakilia, watarudi kwa furaha wakichukua mavuno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye azichukuaye mbegu zake kwenda kupanda, huku akilia, atarudi kwa nyimbo za shangwe, akichukua miganda ya mavuno yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaokwenda kupanda mbegu wakilia, watarudi kwa furaha wakichukua mavuno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye azichukuaye mbegu zake kwenda kupanda, huku akilia, atarudi kwa nyimbo za shangwe, akiwa ameyachukua matita ya mavuno yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye azichukuaye mbegu zake kwenda kupanda, huku akilia, atarudi kwa nyimbo za shangwe, akichukua miganda ya mavuno yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaokwenda kupanda mbegu wakilia, watarudi kwa furaha wakichukua mavuno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli waliokwenda njia zao na kulia machozi walipopeleka mbegu za kumiaga ndio watakaokuja na kupiga vigelegele wakichukua vicha, walivyovivuna.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)