Psalms 127:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu, wa Solomoni) Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure. Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu asipoijenga nyumba, wajengao hufanya kazi bure. Mwenyezi Mungu asipoulinda mji, walinzi wakesha bure.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure. Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu. Wa Solomoni) BWANA asipoijenga nyumba, wajengao hufanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji, walinzi wakesha bure.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana asipoijenga nyumba, wajengao hufanya kazi bure. bwana asipoulinda mji, walinzi wakesha bure.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wanafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye anakesha bure.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure. Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana asipoijenga nyumba, waijengao hujisumbua bure; Bwana asipoulinda mji, walinzi huwa macho bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini: wa Solomono. Yawe asipoijenga nyumba, wanaoijenga wanajisumbua bure. Yawe asipoulinda muji, wanaoulinda wanakesha bure.